NileSat JF-Expert Member Joined Mar 31, 2015 Posts 340 Reaction score 182 May 2, 2015 #1 naulizoa bei ya multimeter inayopima mpaka frequency kwa mlipo dar ebu nijuzeni bei kama unayopia naweza kuinunua kama ina hali nzuri
naulizoa bei ya multimeter inayopima mpaka frequency kwa mlipo dar ebu nijuzeni bei kama unayopia naweza kuinunua kama ina hali nzuri
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,649 Reaction score 7,133 May 2, 2015 #2 Electrical Technian said: naulizoa bei ya multimeter inayopima mpaka frequency kwa mlipo dar ebu nijuzeni bei kama unayopia naweza kuinunua kama ina hali nzuri Click to expand... Ipo Fluke na inakuja na kit ya kukonect kwa laptop. Pamoja na CD yake nakebo na probes andàa laki 3. Kama upo tayari nije nayo( nipo NJE ya TZ now) nikifika unirudishie hela Yangu.) Pia inapima kapacita.coil na transistors.diodes na ICS)
Electrical Technian said: naulizoa bei ya multimeter inayopima mpaka frequency kwa mlipo dar ebu nijuzeni bei kama unayopia naweza kuinunua kama ina hali nzuri Click to expand... Ipo Fluke na inakuja na kit ya kukonect kwa laptop. Pamoja na CD yake nakebo na probes andàa laki 3. Kama upo tayari nije nayo( nipo NJE ya TZ now) nikifika unirudishie hela Yangu.) Pia inapima kapacita.coil na transistors.diodes na ICS)