GE2025 Muliro: Oktoba 29 mkajitokeze kupiga kura bila Hofu

GE2025 Muliro: Oktoba 29 mkajitokeze kupiga kura bila Hofu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
844
Reaction score
1,608
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kupitia Kamanda Oktoba 15, 2025 Jummane Muliro, ameeleza kuwa kila Mtanzania ana haki ya kupiga kura hivyo Oktoba 29 wajitokeze kwenda kupiga kura bila hofu.
 
Hawa polisi kwa sasa hawaaminiki. Unaweza kwenda likakupata lolote, bado wakakwambia inteligesia inafanyia kazi.

Unaweza hata kupigwa wakidhani ni muandamanaji 🤣🤣🤣.

Kila mtu atapima umuhimu wa kujianika huko nje.

Un
 
Back
Top Bottom