Mohamed Ismail
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 228
- 249
Mtag Mama samiah ili afanyie kazi Jambo lako.Anaandika Mo Mlimwengu.
Muleba my mother land, Muleba ni nyumbani na Muleba ni mahali ambapo kitovu changu kilizikwa baada ya kuzaliwa. Wahenga wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni. Muleba punde si punde tena bali punde ni punde kila mtu
Hakuna sababu ya picha umeona kwanza halmashauri yao wengine wamejenga maghorofa wao wamejenga mfumo wa madarasa ndio makao makuu ya halmashauri yao yaani aibu tuPicha ingependeza kuleta uhalisia wa kinachoongelewa. Nashauri piga icha Taa zilizowekwa na zilizotarajiwa kuwekwa katika mradi husika. Najua uchungu wako lakin njia rahis ya kulisukuma hili ili waliojfanya wakubwaaa wapoteane.