Mukwala: Lazima niifunge Yanga ngao ya jamii

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,854
Reaction score
32,657
"Nimecheza na Yanga mara mbili nadhani sasa mechi ijayo ni muda wa kuwafunga kwa sababu hamna tena kisingizio, najua mechi itakuwa ngumu lakini tutajitahidi kadri ya uwezo wetu tushinde".

Mshambuliaji wa Simba Steven Mukwala akizungumza kuhusu mechi ya Ngao ya Jamii September 16, Mukwala ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari baada ya Simba kuwasili Tanzania wakitokea Misri kwenye Pre season.

#scopeboii #ScopeMedia
1756448867176.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Content inaongelea timu kuifunga Yanga, kichwa cha habari kinaongelea mchezaji kuifunga Yanga.

Spirit nzuri, wachezaji kujiona wana deni kwa mashabiki. Hata wasipoifunga iwapo wakijituma tutaona.
 
"Nimecheza na Yanga mara mbili nadhani sasa mechi ijayo ni muda wa kuwafunga kwa sababu hamna tena kisingizio, najua mechi itakuwa ngumu lakini tutajitahidi kadri ya uwezo wetu tushinde".

Mshambuliaji wa Simba Steven Mukwala akizungumza kuhusu mechi ya Ngao ya Jamii September 16, Mukwala ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari baada ya Simba kuwasili Tanzania wakitokea Misri kwenye Pre season.

#scopeboii #ScopeMediaView attachment 3457099

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Amuulize Ateba, alishawahi ropoka kama hivi..!! Mwishowe alinyang'anywa mpira mguuni na mdaka mishare
 
Ateba alisema ataifunga Yanga. Huyu kajiongelea yeye kuifunga Yanga au kaongelea ushindi wa timu nzima dhidi ya Yanga? Kuwa specific, hakuna haja ya upotoshaji.
SOMA HIYO

"Nimecheza na Yanga mara mbili nadhani sasa mechi ijayo ni muda wa kuwafunga kwa sababu hamna tena kisingizio, najua mechi itakuwa ngumu lakini tutajitahidi kadri ya uwezo wetu tushinde".

Mshambuliaji wa Simba Steven Mukwala akizungumza kuhusu mechi ya Ngao ya Jamii September 16, Mukwala ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari baada ya Simba kuwasili Tanzania wakitokea Misri kwenye Pre season.

#scopeboii #ScopeMedia

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
SOMA HIYO

"Nimecheza na Yanga mara mbili nadhani sasa mechi ijayo ni muda wa kuwafunga kwa sababu hamna tena kisingizio, najua mechi itakuwa ngumu lakini tutajitahidi kadri ya uwezo wetu tushinde".

Mshambuliaji wa Simba Steven Mukwala akizungumza kuhusu mechi ya Ngao ya Jamii September 16, Mukwala ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari baada ya Simba kuwasili Tanzania wakitokea Misri kwenye Pre season.

#scopeboii #ScopeMedia

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ooh. Hapa sawa.
 
Amuulize Ateba, alishawahi ropoka kama hivi..!! Mwishowe alinyang'anywa mpira mguuni na mdaka mishare
Au amwulize Kibu Denis aliyefunga bao la bahati na kujidai kuwanyamzaisha Yanga; baada ya mchezo huo aliondoka uwanjani na kipigo cha 5G na wala hajafunga bao jingine tena.
 
Back
Top Bottom