TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Inawezekana mimi si Great thinker, sijakupata kabisa!! Kosa la Slaa linafikaje kwa Zitto?
Inawezekana mimi si Great thinker, sijakupata kabisa!! Kosa la Slaa linafikaje kwa Zitto?
Asante sana Only83 kwani umenielewa,CDM WAKUMBUKE NYERERE ALIWAHI KUITWA NA MWANANCHI MMOJA AKAFUNGA SAFARI KUMWITIKIA KWA AJILI YA TANU.KWA TANGA UKIPATA Lushoto jimbo moja CCM KWISHNEYNadhani uongozi utakupata watalifanyia kazi,na nashukuru baadhi ya viongozi ni wanafamilia hapa JF...
Kama kunakosa kubwa la chadema la kupoteza wanachama lushoto ni hili la mh.ZITO kutofika wilayani hapo.KWA NINI? 1.mwaka 2010 mgombea urais ndg WPS ALISHINDWA KUFIKA HUKU AKISUBIRIWA ZAIDI YA SAA 8 2.wananchi na wanazi wa chadema huzomewa sana kutokana na uongozi wa chadema kutofika kwa ahadi. JE UNAFIKIRI KWA HAYA MAWILI ENDAPO CDM ITAKOSA IMANI KWA UMMA WA KURA ZAIDI 250,000 YA LUSHOTO NANI ALAUMIWE? Je sauti ya umma haisikilizwi? KAZI KWENU VIONGOZI.
Wewe acha kudanganya shetani ni wewe,hujui kwamba Zito anatakiwa kwa udi na uvumba lushoto? Kunabahati akapewa jina la 'SHEBUGHE' KWA WASAMBAA WANAJUA MAANA YAKE.PIA CDM HAKINA JEMBE NDANI YA CCM[UKITAKA KUUA NYANI...............]Lakini pia inawezekana kwa kuwa Lushoto/Bumbuli kuna mpiganaji mahiri (Mh. Januari Makamba) anayetetea maslahi ya umma uongozi wa CHADEMA umeamua kutoharakisha kwenda huko kwa sasa may be? Asiye kinyume chetu yu upande wetu hata kama anaambatana na shetani!
kama nimeelewa vema, Zitto alitakiwa kuwa Lushoto leo na hajafika kama ilivyoahidiwa, ni sawa na Dr slaa alivyoshindwa kufika wakati wa kampeni mwaka 2010 kama ilivyokuw aimepangwa
Watu wengine bwana,kosa si la Zito,kwa ajitetee? Labda ungesema Zito atumie utashi wake wa ama afike au la ili wanalushoto wateie wenye!Labda atakuwa na sababu za kutofika tumsikilize atajitetea je kabla ya kumhukumu
Inawezekana mimi si Great thinker, sijakupata kabisa!! Kosa la Slaa linafikaje kwa Zitto?
Dr Slaa, kumbuka, matawi na mashina kukiwa imara ushindi njenje. Lushoto, Bumbuli, Mlalo kote huko ni kwetu, wananchi wanahitaji kuona viongozi wa juu, wakitembelea ili kupelekea uhai wa Cdm. 'Dr take care on this'