ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,557
- 4,318
Wakuu wanajamvi Habari za usiku asalam alaymkum bwana asifiwe......
Bila kupoteza muda ingefaa tummulike huyu vice chancelor wa udsm (sultani)professor Rwekaza Mukandala
Huyu bepari wa kihaya amedumu kwenye hii nafasi ya umakamuu mkuu wa chuo kwa miaka10 sasa sijui ni sultani au hakuna mwingine wa kumudu nafasi yake.
Mukandala amekuwa jipu la muda mrefu ndani na nje ya chuo kwa kuendesha hichi chuo kinachoheshimika Africa kama shamba lake kwa sababu sifuatazo
1ameendelea kuuza mapori ya chuo akiaanzia mlimani city na mapori mengine yakiendelea kufywekwa ili kuweka majengo yasiyoeleweka
2badala ya kujenga hostel ndani ya eneo la chuo wanafunzi wamekuwa wakihangaika kukaa mabibo hostel,ubungo.kijitonyama.mwenge, yeye akikodisha mapori ya chuo,kwa miaka nenda rudi kwa vile mradi wa mabibo ni wa watu fulani wasioguswa (untouchables)
3miezi michache iliyopita kuna mwanafunzi aliuawa changanyikeni nje ya chuo kwa vile anakaa nje ya chuo na u salaam ulio hafifu
4kufanya kazi kwa mazoea kuendesha chuo kama private school.hakuna maendeleo ya chuo kama taasisi yanaonekana toka huyu bepari aingie zaidi ya kulindwa na utawala uliopita nna uliopo bado haustuki kuwa mukandala ni jipu