Mukama amtetea Lusinde; adai alikuwa anajibu mapigo!

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source Nipashe

Katibu mkuu wa Magamba Wilson Mukama amefagilia matusi wa gamba mwenzie mh Deadstone na kusema kayafanya hayo kwa kuwa alikuwa anajibu mapigo ya Chadema

My take
Watanganyika anayeipenda ccm kwa mpango huu kweli lazima uwe na akili za maiti mbona hakuyataja matusi waliotukanwa kama ushahidi

Hivi iweje chama kishadadie matusi??????

Wakati huo huo wanadai Lema alimtusi Dr Batilda Buliani bila ushahidi Chadema na wananchi tunao wa kwao

Ni ustarabu gani ccm wanao.

Hivi wanaelimu gani vile hawa au wote ni kama majimarefu na uprofu wa mashetani

Nimegundua walimtuma wenyewe
 
Mh Gamba kapotoka sana kufagilia matusi,ni nani sasa anabusara ndani ya hiki chama? Kwani nilizani Ben ah wapi? Huyu nae ndo hivo, hakika chama linakufa kwa kasi.
 
Embu na hapa JF tuache kushadadia habari zisizoleta Maendeleo nafikiri hayo tuwaachie wakinamkegani. We are great thinkerz bana why wasting our time for nonsense?
 
ccm inajimaliza yenyewe bila kujua. alichofanya lusinde, hakuna mtu mwenye maadali ataweza kukubaliana nacho. angalau wangenyamaza. natumaini chadema wana card za kutosha, tumewachoka ccm. hawana dira.
 
Huwezi kushangaa! CCM ni kundi la wahuni na usitarajie hata chembe moja ya busara kutoka kwenye kundi hilo!!!!
 
Source Nipashe

Katibu mkuu wa Magamba Wilson Mukama amefagilia matusi wa gamba mwenzie mh Deadstone na kusema kayafanya hayo kwa kuwa alikuwa anajibu mapigo ya Chadema

My take
Watanganyika anayeipenda ccm kwa mpango huu kweli lazima uwe na akili za maiti mbona hakuyataja matusi waliotukanwa kama ushahidi

Hivi iweje chama kishadadie matusi??????

Wakati huo huo wanadai Lema alimtusi Dr Batilda Buliani bila ushahidi Chadema na wananchi tunao wa kwao

Ni ustarabu gani ccm wanao.

Hivi wanaelimu gani vile hawa au wote ni kama majimarefu na uprofu wa mashetani

Nimegundua walimtuma wenyewe

CCM imeoza na hili jitu zima kiongozi Katibu Mkuu wa chama tawala linabariki matusi hadharani. Hakuna mkubwa na mdogo wote takataka!!!!!! Nilitegemea kauli angalau ya kuonyesha utu uzima na busara!!!
 
Kutukana ni kutukana tu hakuna utetezi. Yaani mtu anatenda dhambi halafu anatafuta sababu!! NI kama kusema "nimeiba kwa vile namimi niliibiwa" Hakimu ataacha kukuhukumu kifungo cha miaka kadhaa jela??? Hakuna sababu ya kutukana. Kakosa maadili tu. Sasa huyu anayemtetea simuelewi. Tena mzee!! Angekuwa kijana labda ningesema vijana ndio walivyo wanateteana. Mtu mwenye maadili mema hawezi kutukana kwa sababu mwenzie katukana. Hivi nikumbusheni CDM wametukana lini na hayo matusi ni yepi?
Source Nipashe

Katibu mkuu wa Magamba Wilson Mukama amefagilia matusi wa gamba mwenzie mh Deadstone na kusema kayafanya hayo kwa kuwa alikuwa anajibu mapigo ya Chadema

My take
Watanganyika anayeipenda ccm kwa mpango huu kweli lazima uwe na akili za maiti mbona hakuyataja matusi waliotukanwa kama ushahidi

Hivi iweje chama kishadadie matusi??????

Wakati huo huo wanadai Lema alimtusi Dr Batilda Buliani bila ushahidi Chadema na wananchi tunao wa kwao

Ni ustarabu gani ccm wanao.

Hivi wanaelimu gani vile hawa au wote ni kama majimarefu na uprofu wa mashetani

Nimegundua walimtuma wenyewe
 
ccm inajimaliza yenyewe bila kujua. alichofanya lusinde, hakuna mtu mwenye maadili ataweza kukubaliana nacho. angalau wangenyamaza. natumaini chadema wana card za kutosha, tumewachoka ccm. hawana dira.
 
Ni aibu kubwa sana kwa kiongozi mtendaji mkuu wa chama kuunga mkono lugha ya matusi, hii inaleta taswira gani kwa wana ccm walio nyuma yake anaowaongoza?
Kweli nimeamini sikio la kufa halisikii dawa.
 
Naamini pia walimtuma maana hata jana akiwa jahazi hajajutia alichokifanya kwani aliamini alipaswa kufanya hivyo. Na alipoulizwa maswali ya msingi alikuwa anajikanyaga tu. CCM wanajimaliza kama mitusi ya Lusinde wanaiona ya maana sana kwao. Wamwajibishe la sivyo hatuwaelewi wana maana gani.
 
Viongozi karibu wote wa magamba thinking capacity leve is below 20% of 99%.Hawana akili hata punje!,yani unafagilia matusi katibu mzima?.Hovyo kabsa hv jamii inajfunza nin kutoka kwa magamba.Ccm kwisha habari yenu mmeishiwa sera mmebakiza matusi na mipasho hamna lolote.Na 2015 magogoni kwenu ni ndoto......Loading.........Dawa yenu ni kupiga kura na kulinda kura na tena muendelee na matusi yenu mtajibebaje?
 
Ni aibu kubwa sana kwa kiongozi mtendaji mkuu wa chama kuunga mkono lugha ya matusi, hii inaleta taswira gani kwa wana ccm walio nyuma yake anaowaongoza?
Kweli nimeamini sikio la kufa halisikii dawa.

Mkuu usipate shida, hizo ndiyo sera za magambuti kukanyaga majitaka ya mitaro.
 
Back
Top Bottom