tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 282
Laiti Mukama angejuea kuwa Osama angekufa jana yake ange-cancel hafla aliyowaandalia wahariri pale Krmpiski jana Jumatatu na kutoa pumba zake. Leo hii magazeti yoote, ni habari za Osama tu katika lead story zao, isipokuwa HABARI LEO tu ndiyo imetoa kipaumbele pumba za Mukama pale Kempiski kwa kuzifanya lead story.
Na hivyo hivyo kwa habari za Ris-One katika kuukana ubilionea wake.
Hii safi sana Wahariri wa magazeti Big Up! Tuko pamoja!
Hakika CCM watakuwa wamenuna kwa kuzipuuza habari zao.
zitaandikwa kesho
Vyama vya upinzani vilianzishwa nchini Tanzania kwa mujibu wa sheria mwaka 1992.
Katibu mkuu wa CCM bw. Wilson Mukama anapotamka kwamba vyama vya upinzani vilianzishwa kwa shinikizo ana maana gani?
Akumbuke kwamba wanachama walioko kwenye vyama vya upinzani ni watanzania kama walioko ndani ya CCM.
Inawezekana pia CCM ikawa chama cha upinzani, na itakapotokea ikawa hivyo CCM nayo itakuwepo kwa shinikizo kutoka nje ya nchi?
Hahahahahahah ukistaajabu ya Mussa!.....Na CCM ni chama cha nani vile!?
Mh! are u mentally fit....?
Wenye Magamba!
'………………………chama kimeanzishwa kwa shinikizo la shirika la fedha ulimwenguni (IMF). You can quote me on this (nikariri katika hili) . Yule aliyetofautiana na Nyerere ndiye aliyekwenda kukianzisha'.
Kauli ya Mukama
My take : Kama hali ni hii basi haya pia yapo :
- CDM ni chama cha kutoka nje na kinafadhiliwa na watu wa nje kuivuruga nchi. Ili wakifanikiwa kuchukua dola, wale walio watuma na kuwafadhili wawalipe fadhila
- Kama aliye kianzisha alikorofisha na Mwasisi wa Taifa hili , basi alikuwa hana akili na adabu. Kutokana na msingi wa laana hiyo basi ndio maana CDM inazidi kuwatafuna kwa kutotii sheria za nchi. Mifano ipo wazi kabisa mauaji ya Arusha , utovu wa nidhamu bungeni nk