Tujikomboe Finance
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 212
- 81
Tuna uhitaji wa haraka wa mtu anayejua kutumia sofware ya Finance Solution kwa ajili ya kuingiza data za mikopo na miamala ya fedha kwenye mfumo huu. Ofisi zetu zipo Mbagala rangi tatu Temeke.
Sifa za mwombaji:
Tafadhali kama unapendezwa na hii kazi na unazo sifa stahiki. Tafadhali tuwasiliane kwa njia ya ujumbe binafsi (Private inbox) au kwa barua pepe: tujikomboetz@yahoo.com kabla ya 06th November 2016.
Sifa za mwombaji:
- Awe amewahi kutumia Finance Solution au system yoyote inayohusiana na mikopo
- Awe na taaluma ya uhasibu
- Awe na umri usiozidi miaka 38
Tafadhali kama unapendezwa na hii kazi na unazo sifa stahiki. Tafadhali tuwasiliane kwa njia ya ujumbe binafsi (Private inbox) au kwa barua pepe: tujikomboetz@yahoo.com kabla ya 06th November 2016.