mihadarati
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 268
- 74
Wana MMU habar za muda huu!
Jambo hili naweka hapa limenitokea muda huu tu,nikasema niliweke hapa ili kusaidia wengine watakaokumbwa na tatizo kama hilo,lakini pia kusaidai katika ufafanuzi.
Nilikuwa naongea na Mtu wangu wa karibu mara ghafla nikasikia kama mtu mwingine yupo karibu yake akazungumza kwa sauti hadi akanifanya nisimsikie mzungumzaj wangu na akazungumza kitu tofauti na mada tuliyokuwa tunazungumza,baada ya sekunde kadhaa nikamsikia tuliyekuwa tunaongea nae nilipomuuliza juu ya utofauti wa mtu aliyeongea akakataa kabisa na akawa haelewi nachomuuliza.
Tukaendelea na mazungumzo baada ya dakika kama 2 nikasikia sauti ya mwanaume anamwambia rafiki yangu wew unaongea tu na baasha zako mbona hujanipigia mimi simu,sauti hiyo ikawa kama ni mtu ambaye yupo pamoja,kidogo simu yake ikakata,alipopiga nikamuuliza juu ya yaliyotokea akashangaa kwani yupo chumbani na hayupo na mwanaume basi nikagundua kuna tatizo la muingiliano kwenye mawasiliano.
lengo lango la kuweka uzi huu hapa ni kwamba kama ni mtu na mpenzi au mke na mume walikuwa wanaongea katika simu niliyoelezea hapo juu kulikuwa kuna uwezekano wa kuvunjika kwa mahusiano au kusababisha mgogoro mkubwa.
Mtandao tulikuwa tunatumia ni Vodacom.