Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 692
Saluteee kwenu
kuna bidada huku mtaani kwetu jamani yaani ni muhuni had kapewa jina la KIMBUNGA.age yake ni kama miaka 21 ivi,natamani sana siku moja nimshauri kuhusu katabia kake ila hofu yangu ni kuwa naskia ukiongea nae tu UMENASWA,yaana ana MVUTO kwelikweli,wakuu nifaneje niokoe kijana huyu anaebeba watu,na habagui wala hachagui.