Wakuu nisiwachoshe poleni na majukumu ya kusaka tonge
Kuna ndugu ameniomba nimuandikie uzi huu
Anatafuta kazi ya kuuza duka la dawa muhimu za binadamu au Pharmacy kwa atakae hitaji awasiliane nae kwa namba 0712863626
0759947921
acha utani mkuu, yani elimu ya kidato cha nne ndio nini!!? si umesema duka la dawa au duka bidhaa? si lazima awe na elimu kuhusu dawa? dispensing cert/ diploma in phrm au degree?