round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 935
- 3,014
Mods tafadhalini msipeleke post hii jukwaa la Uganda, Lile jukwaa halipo active
Hii leo taasisi ya haki za Binadamu Uganda imemuomba Muhoozi kumuachia Edward Mutwe, Mlinzi mkuu wa Bobi Wine (Mpinzani mkuu Uganda) aliemteka na kumpa mateso makali.
Muhoozi alijibu
LOO! Kama hawa watu wanathamini maisha tuliyowapa, WASIJE KUJARIBU kunitumia barua ya KIPUMBAVU kama hii tena ! Hili ni onyo lao la mwisho! Natarajia waniombe msamaha.
Bobi Wine alionekana akiwa na mabalozi wa Ulaya, Muhoozi hakufurahishwa na jambo hilo akapost "Hili ni jambo la fedheha! @EUinUG mnachezea moto. Sawa ! (EUinUG ni wawakilishi wa Umoja wa Ulaya walioko Uganda)
TUMEWAWEKA ALAMA wote, hususan huyu anayemsalimia Kabobi kwa mkono.
Nawajibika kikamilifu kwa vitendo vya wanajeshi wangu, ikiwemo kumshushia kipigo kizito kwa muda mrefu Eddie Mutwe, kile ni kionjo tu !
Wakati wa uchaguzi huu ujao, Wazungu walioko hapa nchini ambao hawamuungi mkono Mzee kwa moyo wote, wanapaswa kuwa makini. Tutawafukuza hadharani wasaliti wote!
Sikufanya chochote kwa Eddie... Ninakuja kwa yule mjinga asiye na elimu anayeitwa Kabobi! Nitamteka hivi karibuni!"
Bazungu wanaona wanaweza kunitisha? Nilikuwa nakabiliana nao kila wakati Sweden nikiwa mdogo, kupigana nao ilikuwa kama kupata breakfast, chakula cha mchana na usiko, Niko tayari kwao kila wakati
Mimi, Muhoozi Kainerugaba, mwana wa Museveni, nina nguvu nchini hapa kumtimua balozi yeyote nisiempenda
Tulimkamata KB, kisha Eddie Mutwe, sasa ninawaahidi Kabobi. Bado mnafikiria huu ni utani ? Bado sijaanza!
(KB ni Kizza Besigye mpinzani mkongwe alitekwa mwaka jana)
Je, nilimpiga Eddie vya kutosha ? Wanaounga mkono wa retweet. Wanaopinga wa like.
Tulipiga mujinga!! (Pichani ni Edward aliyetekwa na Muhoozi, aliteswa sana )
Ninajivunia sana kwamba jeshi letu kubwa limetoa kipigo kikali kwa Eddie Mutwe ! Na bado tutapiga wengi zaidi.
Mungu ibariki Uganda! Mungu libariki Jeshi la Uganda (UPDF) na Jeshi la Rwanda (RDF)
Mungu ibariki Rwanda.
Ikiwa mtu yeyote kutoka NUP (chama kikuu cha upinzani) atafikiria kuanzisha maandamano Kampala, naahidi KUMUUA awe mwanaume au mwanamke. Hiyo ni ahadi yangu!
Pia unaweza kusoma Muhoozi akijisifu kumteka Edward na mateso aliyompa
www.jamiiforums.com

Mtoto wa Museveni, Muhoozi Kainerugaba akiri kumteka mlinzi wa Bobi Wine. Ajisifu kuteka na kutesa wapinzani
Hali ya demokrasia nchi za Afrika mashariki inazidi kuzorota, huko Uganda mtoto wa Museveni anajisifu kuteka na kuwatesa wapinzani wake huku akitishia kuua hadharani yeyote anaekosoa serikali, hakuna mafumbo ni lugha isiyo na kona. Edward Mutwe, ambaye ni mlinzi mkuu wa kiongozi wa chama kikuu...