A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,216 Oct 13, 2024 #1 Kwa sasa ndie Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, mtoto wa kiume wa Jenerali Museveni. Mipango ikikamilika basi CDF Kainerugaba ataungana na Marais wenzake kuendelea Kula keki hapo Afrika Mashariki
Kwa sasa ndie Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, mtoto wa kiume wa Jenerali Museveni. Mipango ikikamilika basi CDF Kainerugaba ataungana na Marais wenzake kuendelea Kula keki hapo Afrika Mashariki
Mshangazi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,142 Reaction score 4,518 Oct 13, 2024 #2 Anatumia ID gani hapa JF?