Prof. Muhongo na Jaji Werema ambao ni watuhumiwa wa Escrow, ni watu wa Mara. Nimefurahishwa na style yao ya kusimamia kile wanachokiamini ; hakuna rushwa, fedha si za umma, hakuna kujiuzuru.
Hawa ni kielelezo halisi cha wanaume asilia wa Mara.

Umenikumbusha " Bita ni bita murah!"Mkuu Mimi Mwenyewe Ni Poti Wako Tena Wa Huko Huko Kabisaaaaaa......ILA Kwa Upuuzi Wao Huo NAUNGANA Na WATANZANIA Wote KUWALAANI Na Wanastahili KUWAJIBIKA na KUWAJIBISHWA! Haki, Nidhamu Na Utu Kwanza Kisha Undugu Baadae.
Ndiyo maana hata Faiza Foxy kaomba kupigwa ban ......!Watatoka tu......Ni kiasi cha muda........Najua wanamuonea aibu tumbili jinsi walivyomrarua na maneno s's wakitoka wataonekana wameshindwa Ila Watatoka tu...........
hiyo personality ya watu wa mara inayokufurahisha kwa hao viongozi kama taifa nawe ukiwa mzalendo wa nchi hii kipi cha kukufurahisha?Prof. Muhongo na Jaji Werema ambao ni watuhumiwa wa Escrow, ni watu wa Mara. Nimefurahishwa na style yao ya kusimamia kile wanachokiamini ; hakuna rushwa, fedha si za umma, hakuna kujiuzuru.
Hawa ni kielelezo halisi cha wanaume asilia wa Mara.