Kwanza kabisa naomba ni declare interest mm ni mmoja wa members tuliotumia nguvu nyingi hapa JF na kule Twitani kutetea uteuzi wa Professor Sosy Muhongo kuwa waziri wa nishati...nilikua na imani kubwa na utendaji na ueledi wa waziri huyu...niliamini ni mtu sahihi wa kusafisha shirika letu la umeme TANESCO ambalo kiutendaji na kimfumo lipo taabani...ni aibu katika nyakati hizi za kuhamasisha uzalishaji bado tunazungumzia kukatika katika kwa umeme...bado tunazungumzia power rationing katika mji mkubwa kama Dar this is not acceptable frankly speaking...Waziri Muhungo tunataka kujua vipaombele vyako ni vipi juu ya Shirika hili la umeme...do u have strategies in place to transform underperforming TANESCO...shirika hili linapaswa kufanyiwa overhaul kubwa kuanzia muundo wake mpaka mikakati yake ya kiundeshaji..kwa maoni yangu haya yanaweza kusaidia in long term
1. Weka shirika hiili chini ya uangalizi maalum kwa mwaka mmoja
2. Waangalizi hao maalum wataandaa taarifa juu ya mambo haya makuu;
a. Idadi ya wafanyakazi wote wa Tanesco,Kazi wanazozifanya na viwango vyao vya elimu
b. Uhakiki wa mali zote za TANESCO(Mali zinazohamishika na zile zisohamishika)
c. Uhakiki wa madeni yote ya TANESCO(Madeni ya muda mfupi na yale ya muda mrefu)
d. Mikataba yote ya TANESCO iwe ya ndani na ya nje pia
e. Taarifa za wadaiwa sugu wa TANESCO pamoja na mali zao kwa ajili ya ku inforce recovery
g. Taarifa za watumiaji ambao bado hawajaunganishwa na mfumo wa LUKU na sababu za kisayansi za kutounganishwa kwao
3. Vunja bodi ya TANESCO ya sasa
4. Vunja shirika lote la TANESCO badala yake kuanzishwe Mamlaka ya Umeme Tanzania (MUTA) ambayo itaongozwa na CEO wa kuajiriwa na competent board of directors ambayo haitakua na wanasiasa kwa sababu ya kuondoa issues za conflict of interest
5. Nafasi za kazi zitangazwe upya na wafanyakazi wa sasa na wapya watalazimika kuomba upya kazi kwa mikataba ya muda maalum ambayo itaenda sambamba na Key Performance Indicators
6. Idara ya ukaguzi wa ndani yaank Internal Audit iwe completely independent na wawe wana report directly kwa boad of directly quartely na taarifa zao ziwe public displayed kama zile za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali
7. Mamlaka hiyo mpaya ya UmemeTanzania (MUTA) itakua na kanda maalum ambazo idadi isiwe sawa na idadi ya mikoa kwa mfano Kanda Ya Pwani itajumuisha Dar Es Salaam, Pwani na Morogoro hizi zitakua chini ya kanda moja na watapewa targets zao na watahukumiwa wao kama Kanda incase waki underperdorm
Naamini tukifanya hayo tunaweza kubadili uendeshaji wa sekta hij ya nishati ya umeme