View attachment 145373namkubali sana huyu jamaa kwa kukitumia vyema misemo ya kiswahili kwenye kazi yake
kama wewe ni fan wa muigizaji mahiri (muhogo mchungu) tukumbushe misemo unayoikumbuka
ninao ukukumbuka mimi 1.ongea wewe kiazi mi muhogo nina mzizi
2.kunya anye kuku akinya bata kaharisha
mingine tafadhali