Kama masomo ya sayansi umefaulu vizuri soma kada za afya!Jamani naombeni ushauri nimehitim kidato cha nne 2016 na nilipat Dv 2 yaani nina cc katka mosomo yote ila sikwenda advance kwa sababu za kifamilia. Nisomee coz gani kulingana na hayo matokeo msaada tafadhari.
CLINICAL medicineKam ipi labda inaweza kua bora
Nilipona hii comment nikaisi unahitaji fedha( mkopo)Nasikia kwamba kuna baadhi ya mashirika yanatoa mikopo kwa koz kama hizo nikweri?
Environmental engineering and management in mines. Itapatikana chuo cha madini DodomaJamani naombeni ushauri nimehitim kidato cha nne 2016 na nilipat Dv 2 yaani nina cc katka mosomo yote ila sikwenda advance kwa sababu za kifamilia. Nisomee coz gani kulingana na hayo matokeo msaada tafadhari.
Hiki kizazi siyo kile cha miaka ya 1961. Jifunze kuishi kwa nyakati. Nyakati zimebadilika nduguJamii forum umejiunga August 2013 ukiwa form one unamiliki smart daaa hatari sana
Hapo ulipoweka 'kweri'...nimeshtuka!!....na kiswahili pia ulipata alama c.. ?Nasikia kwamba kuna baadhi ya mashirika yanatoa mikopo kwa koz kama hizo nikweri?
NoHiki kizazi siyo kile cha miaka ya 1961. Jifunze kuishi kwa nyakati. Nyakati zimebadilika ndugu
Na kwenye taaluma ameweka "taaruma"Hapo ulipoweka 'kweri'...nimeshtuka!!....na kiswahili pia ulipata alama c.. ?
Na kwenye taaluma ameweka "taaruma"Hapo ulipoweka 'kweri'...nimeshtuka!!....na kiswahili pia ulipata alama c.. ?