psagala1 Senior Member Joined Feb 18, 2014 Posts 156 Reaction score 102 Jun 7, 2017 #1 Natafuta sehemu yakufundisha kwa muda masomo ya Physics na Mathematics, nina Bachelor of Electronics&Communication na nna uwezo wakufundisha masomo tajwa......napatikana Dar es Salaam. Kama kuna nafasi sehemu naomba tuwasiliane wadau. Nawasilisha
Natafuta sehemu yakufundisha kwa muda masomo ya Physics na Mathematics, nina Bachelor of Electronics&Communication na nna uwezo wakufundisha masomo tajwa......napatikana Dar es Salaam. Kama kuna nafasi sehemu naomba tuwasiliane wadau. Nawasilisha