Muhimu wa wanahabari wote

wakiamua kutekeleza hiyo sheria lazima warudi kusema uhuru wa kujieleza unaminywa...
 
wakiamua kutekeleza hiyo sheria lazima warudi kusema uhuru wa kujieleza unaminywa...
Kwa hiyo kutekeleza sheria mpka waamua... Sheria wameitunga wenyewe waitekeleze wenyewe!!! Jinga sana ccm
 
wakiamua kutekeleza hiyo sheria lazima warudi kusema uhuru wa kujieleza unaminywa...
Leo umetokelezea.Pindua Pindua karatasi za humu ndani kuna sehemu unasubiriwa uanze utetrzi.Vinginevyo ndugu zako wapo chali huku
 
ha ha ha pole mkuu... sisi tuliosoma za kata sijui tumewakosea nini watanzania hawa wenzetu
Inasikitisha sana, maana sisi tulio tokea shule zisizo na St. tunabaguliwa mubasahara kabisa....[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Mwe!!! asimbile findu fiki??....ungeeka ka lugha ya azimio la Arusha ingekuwa mwakemwake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…