Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,640
Wakati huu ni wa kuhakiki taarifa zako kwenye Daftari la kudumu la kupiga kura. Ni muhimu kuhakiki ili tusipoteze Fursa ya kupiga kura pale ambapo ukienda kupiga kura unakuta taarifa siyo sahihi kwani hutoruhusiwa kupiga kura.
kuna tetesi za chama tawala kutumia fursa hii kufanya utafiti wa ni kundi gani katika jamii linalojitokeza kwa wingi kuhakiki taarifa zao ili liwe kundi mahususi kulilenga wakati wa kampeni kwani ndilo litapiga kura. Wenye kusikia wasikie.
kwa taarifa nilizozipata usipohakiki ni vigumu kuruhusiwa kupiga kura. Mikoa iliyotangazwa na tume kuhakiki taarifa zao kuanzi tarehe 1 agosti ni:NJOMBE, IRINGA, MTWARA, LINDI, RUVUMA, KATAVI, RUKWA, MBEYA, DODMA, SINGIDA, TABORA, KIGOMA NA KAGERA.
NB:
Usipuuzie taarifa hii kama uko katika hiyo mikoa kuhakiki ni mojawapo ya kigezo muhimu.