Wahitimu wengi wamekuwa na ukakasi juu ya course ipi wasomee kutokana na matokeo waliyopata ,lakini njia nzuri ya kuchagua course sahihi ya kusomea ni kufikiri kitu gani unakipenda na ndiyo ndoto yako unayotamani kufikia siku moja.
Kingine mshirikishe mungu ili akuongoze katika chaguo sahihi
Zingatia:Usifuate mkumbo kwa kuona marafiki wako wengi watachukua course fulani, ikiwa haimudu vyema achana nayo.
Ni hayo tu.