Muhimu kuhusu free proxy

Muhimu kuhusu free proxy

GHANI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
924
Reaction score
633
Wakuu naomba msaana nitawezaje kudownload movies kwenye torrent kwa kutumia hizi free proxy za voda internet.naomben msaada.
 
Mbona proxy za hazifanye kazi leo kabisa wakubwa or zimechange
 
Mbona proxy za hazifanye kazi leo kabisa wakubwa or zimechange

Mwenyewe nimeshindwa kuaccess internet kwa kutumia proxy,sijajua tatizo ni nini mkuu..mwenye kujua naomba atujuze
 
mwenyewe kwa leo siwezi kuaccess kabisaaaaa proxy nikiweka hela ndio inafunguka na inakatwa kama kawaida
 
hata nikikupa hazina maana yani leo voda wanablock anonymous proxy zote sio wewe tu
 
jamani kumbe tupo wengi.. Ht mimi proxy zote zimenigomea siku ya leo.
 
Hata sijajarib siku ya leo.... Wamezuia nini wakuu co sielewielewi....
 
Back
Top Bottom