Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,737
Wananchi kwenye hiyo mikoa waliona kwenye tv jana na wamesoma kwenye magazeti leo kuwa kingunge kasema ccm imebinafsishwaHivi kuna MtanZania ambaye anaweza kubadilisha uamuzi wake wa kuchagua chama fulani kwa sababu Kingunge ameamua kukiunga au kutokukiunga mkono chama fulani?
Hivi Wananchi wa Mikoa ya Mz, Shy, Kagera, Kigoma, Mb, Ir hata wanajua Kingunge ni nani?
Wananchi kwenye hiyo mikoa waliona kwenye tv jana na wamesoma kwenye magazeti leo kuwa kingunge kasema ccm imebinafsishwa
Kwetu simiyu hata hatumjua sijui huyu kinguke ni mti gani.Hivi kuna MtanZania ambaye anaweza kubadilisha uamuzi wake wa kuchagua chama fulani kwa sababu Kingunge ameamua kukiunga au kutokukiunga mkono chama fulani?
Hivi Wananchi wa Mikoa ya Mz, Shy, Kagera, Kigoma, Mb, Ir hata wanajua Kingunge ni nani?
Na hapo ndipo ukawa mnapochemka kama alivyo Kiongozi wenu fisadi Lowasa mmepoteza uhalisia na hamjui nini kinaendelea!
Hivi ni asilimia ngapi ya Watz wanaweza kuangalia TV na kujua nini kinaendelea? kwa kukusaidia tu, wenye Umeme TZ nzima ni asilimia 14% tu na hiyo ni pamoja na wakazi wa Dar!
Unawezaje kujenga mahusiano na fisadi na kingunge na Lowasa majitu majizi hata paka afadhari.Nape anajidanganya sana. Yeye bado mchanga lakini yuko busy kujikusanyia maadui. Nafasi aliyonayo ingeweza kumsaidia zaidi kujenga mahusiano, kama akiba muhimu ya baadae. Siku akikwama abaki na angalau wa kumfuta machozi.
Hapo sasa ndio umekubali ccm haijafanya kitu na inatakiwa kupumzishwa. Kwanini wenye umeme wawe 14% tu????why wasiwe kwenye 70%
Hivi kuna MtanZania ambaye anaweza kubadilisha uamuzi wake wa kuchagua chama fulani kwa sababu Kingunge ameamua kukiunga au kutokukiunga mkono chama fulani?
Hivi Wananchi wa Mikoa ya Mz, Shy, Kagera, Kigoma, Mb, Ir hata wanajua Kingunge ni nani?
Unawezaje kujenga mahusiano na fisadi na kingunge na Lowasa majitu majizi hata paka afadhari.
Wananchi kwenye hiyo mikoa waliona kwenye tv jana na wamesoma kwenye magazeti leo kuwa kingunge kasema ccm imebinafsishwa
Na hapo ndipo ukawa mnapochemka kama alivyo Kiongozi wenu fisadi Lowasa mmepoteza uhalisia na hamjui nini kinaendelea!
Hivi ni asilimia ngapi ya Watz wanaweza kuangalia TV na kujua nini kinaendelea? kwa kukusaidia tu, wenye Umeme TZ nzima ni asilimia 14% tu na hiyo ni pamoja na wakazi wa Dar!
Na hapo ndipo ukawa mnapochemka kama alivyo Kiongozi wenu fisadi Lowasa mmepoteza uhalisia na hamjui nini kinaendelea!
Hivi ni asilimia ngapi ya Watz wanaweza kuangalia TV na kujua nini kinaendelea? kwa kukusaidia tu, wenye Umeme TZ nzima ni asilimia 14% tu na hiyo ni pamoja na wakazi wa Dar!
Yaani kuna watu akili zao sijui zikoje! hivi bado wanadhani kuna mtu anaweza kuchagua Ukawa eti kwa sababu kahamia Kingunge!!!!Hivi kuna MtanZania ambaye anaweza kubadilisha uamuzi wake wa kuchagua chama fulani kwa sababu Kingunge ameamua kukiunga au kutokukiunga mkono chama fulani?
Hivi Wananchi wa Mikoa ya Mz, Shy, Kagera, Kigoma, Mb, Ir hata wanajua Kingunge ni nani?
jibu ni ndioHivi kuna MtanZania ambaye anaweza kubadilisha uamuzi wake wa kuchagua chama fulani kwa sababu Kingunge ameamua kukiunga au kutokukiunga mkono chama fulani?