Muhimu hili [emoji60][emoji110]

Hatupimi urafiki kwa kuangalia Tumetoka mbali , Bali tunaangalia namna wanavyo gusa maisha yetu katika vipindi mbalimbali hasa ule wakati unaokua huna lolote , huna chochote na unakuwa unawahitaj kwa namna moja au nyingine.View attachment 1611742
Hii picha huwa inagusa hisia zangu za ndani kwa kiwango cha juu mno...maisha ya mwanadamu ni fumbo kubwa sana.
 
Napenda sana kusema maisha ni konyo maan hayajawah kutabirika , wala kuzoeleka nayapenda maisha na nayachukia vile vile maan hayazoeleki kila siku yanakuletea kitu kipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…