Muhimbili University Of Health and Allied Sciences.

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
997
828
Nimeona bidhaa (kimiminika)mnayozalisha inayoitwa "Morizella Juice Diet Doctor" kama kinywaji hicho nyie ndio mliokibuni kulikuwa na ulazima kuiweka picha ya Mtu mweupe? (Mzungu) kama yeye ndio mbunifu kwa nini hamjaonesha sura yake?
 
Mzee si ungeenda kuwauliza wenyewe hao muhas maana sidhani kama wapo humu
 
Back
Top Bottom