Muhimbili University(MUHAS) Special Thread

Muoneni huyu nae,

Yaani kwa sababu mnapewa tablet chuo ndo kimekuwa kizuri,

Maya sijajua unaongelea uzuri katika nyanja zipi?

Ila kama wewe ni mwanafunzi wa mediacal na unasifu chuo chako kukupa tablet and nothing else basi waacheni wazungu wachukue makinikia

Halafu mwandiko kama wa polepole huu ( joke)
muhimbili ni chuo cha uchwara bola kcmc tunapewa hadi tablet
 
kijana mwenzangu heshimu watu uliowakuta humu, hii itakusaidia kupata manufaa humu JF.
Katu usidharau,kuponda au kukejeli mtu yeyote hapa JF na pia kuwa mvumilivu na muelewa pale unaporekebishwa. Ni hayo tu
Me muelew sana ila sio kw matusi yle... daaah ni khatar aisee
 
Chuo bora kwa Afya na sayansi shirikishi hapa tz..Am happy to be a part of it..
 
MUHAS, where the best are bred! I remain forever indebdet!
 
Supp 3 ndio imefanya vijana wa MUHAS wapige shule maana wanajua tu wakitetereka wanaaga masomo
sheria ya kibabe sana iyo bora ingekuwa sup 3 per semister
 
Kwa MUHAS, hata kwa semester 1 kama supp zishafika 3 ndio safari hiyo hawasubiri mwaka uishe ila angalau imeleta heshima chuoni vijana wanapiga shule
angalau mwanzo kabla ya sheria kubadilishwa ukipata sup 2 kwa semister unaruhusiwa kuzichomoa
ugumu upo pale unapopata sup 2 semister ya kwanz ya pili unatakiw udefense usishikwe tena
ukishikwa tu umeliwa kichwa
 
muhimbili ni chuo cha uchwara bola kcmc tunapewa hadi tablet
Wewe ni first Year kabisaaa... Ungekuwa muhas ungekuwa ushadisco semester ya kwanzaa tuuu unaanza...!! Akilii fupii sanaa hizooo
 
angalau mwanzo kabla ya sheria kubadilishwa ukipata sup 2 kwa semister unaruhusiwa kuzichomoa
ugumu upo pale unapopata sup 2 semister ya kwanz ya pili unatakiw udefense usishikwe tena
ukishikwa tu umeliwa kichwa

Ila kuna watu wamesoma pale na hawana supp hata moja miaka yote

Inawezekana
 
Muhimbili ni ile ya miaka ya nyuma hii IPO so diluted
 
syndicate nimeona MUHAS wamefungua dirisha la usajil upande wa Postgraduates, dogo lqngu anataka kupiga hapo Master of public Health, deadline ya Application ni march 31.


Je semister ya kwanza inaanza lini na ada ni kiasi gani kwa hiyo kozi?
 
syndicate nimeona MUHAS wamefungua dirisha la usajil upande wa Postgraduates, dogo lqngu anataka kupiga hapo Master of public Health, deadline ya Application ni march 31.


Je semister ya kwanza inaanza lini na ada ni kiasi gani kwa hiyo kozi?
Mkuu hebu kuwa serious bhana,

Yaani umeona wamefungua dirisha la usajili halafu hayo mengine ushindwe kuyafahamu

Tuition fee na mambo yote yanapatikana kwa website
Ulivyoweza kufungua jf kumuandikia huyu member unaweza pia unaweza kufungua website yao na kuona hivyo vitu
 
bro ujaacha hata nukta yan kila kitu umeandika aiseeh we labda uwe kwenye management ndo utajua vyote hivoo dah ..hongera mzee
 

Fee structure ipo ya miaka ya nyuma bado hawajatoa, hivyo ni muhimu kujua kwa wahusika walipo hapo mkuu
 
Katika mwaka wa masomo wa 2019/2019 dogo wangu amebahatika kuchaguliwa kozi zaidi ya moja ambapo mojawapo ya hizo kozi ni Bachelor Of Science In Environmental Health Science aliyochaguliwa kujiunga pale Muhimbili University. Dogo wangu ameniarifu anataka kuiacha hii kozi ambayo alishaikubali (Accept) ambapo nimemwambia atulie kwanza kabla kufanya maamuzi yeyote kwavile muda bado ili niwaulize wajuzi wa hii fani juu ya prospect ya kozi husika. Wakuu wa JF hebu nielimisheni, mtu akisoma kozi tajwa hapo juu anaweza kuwa nani au kufanya nini (Profession) siku za mbeleni.

Ahsante
 
bwana afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…