Nimechaguliwa Diploma in Nursing And Midwifery chuo cha MUHIMBILI SCHOOL OF MIDWIFERY na OR-TAMISEMI kwenye selection za kidato cha tano, vyuo vya Afya na ufundi 2019/2020. Lakini mimi kwenye selform tulizojaza shuleni niliomba Clinical Medicine LUGALO na Medical Laboratory Sciences Singida College of Health and technology, Nataka kuhama hiyo Nursing niende hizo kozi niliokuwa nimeomba hapo awali, lakini kuna ndugu, jamaa na marafiki wanasihi niende tu hapo Muhimbili Nursing. Natunguliza shukrani naombeni ushauri wakuu wazoefu
Mimi nataka Clinical Officer hapo LUGALO lakini wadau wananishauri niende muhimbili tu. Kwasababu pote nmepata naombeni ushauri nifanye maamuzi sahihiWewe ulitaka kusomea nini? Tuanzie hapo kwanza
Lugalo wametoa selection?Clinical Officer hapo LUGALO
Ndio wametoa kupitia Nacte profileLugalo wametoa selection?
mbona profile haifunguki? how do you access your profile?Ndio wametoa kupitia Nacte profile
Ingia pale nacte utaona sehemu imeandikwa "uthibitisho tamisemi" ingiza index no yako ya form four au jina taarifa zitakuja ili uconfirm au ubadilishe kozi kwa utakazoziona kwenye list, chagua unayotaka kisha fwata maelekezo.Nimechaguliwa Diploma in Nursing And Midwifery chuo cha MUHIMBILI SCHOOL OF MIDWIFERY na OR-TAMISEMI kwenye selection za kidato cha tano, vyuo vya Afya na ufundi 2019/2020. Lakini mimi kwenye selform tulizojaza shuleni niliomba Clinical Medicine LUGALO na Medical Laboratory Sciences Singida College of Health and technology, Nataka kuhama hiyo Nursing niende hizo kozi niliokuwa nimeomba hapo awali, lakini kuna ndugu, jamaa na marafiki wanasihi niende tu hapo Muhimbili Nursing. Natunguliza shukrani naombeni ushauri wakuu wazoefu
Asante broo ndio maana nikaomba ushauri kabla ya maamuziWakiume utasomaje nesi mzee baba
Nyie Ndiyo mnajiita Dr nesi huku kazini
Nenda CO au Lab
Tayari wamefunga mfumo toka tr30 mwez 8, Lakini mimi tayari nimepata LUGALO naombeni ushauri nipige chini Muhimbili niingie hapo LUGALO au..??Ingia pale nacte utaona sehemu imeandikwa "uthibitisho tamisemi" ingiza index no yako ya form four au jina taarifa zitakuja ili uconfirm au ubadilishe kozi kwa utakazoziona kwenye list, chagua unayotaka kisha fwata maelekezo.
After getting nacte website, go online then click the upper left side written log in enter ywh candidate number ywh registered bfr and the year your completed then ur passwordmbona profile haifunguki? how do you access your profile?
nimeona kijana wangu kachaguliwa Lugalo! lkn yupo form five! asanteAfter getting nacte website, go online then click the upper left side written log in enter ywh candidate number ywh registered bfr and the year your completed then ur password
Mimi nataka Clinical Officer hapo LUGALO lakini wadau wananishauri niende muhimbili tu. Kwasababu pote nmepata naombeni ushauri nifanye maamuzi sahihi
Ingia pale nacte utaona sehemu imeandikwa "uthibitisho tamisemi" ingiza index no yako ya form four au jina taarifa zitakuja ili uconfirm au ubadilishe kozi kwa utakazoziona kwenye list, chagua unayotaka kisha fwata maelekezo.
Tayari wamefunga mfumo toka tr30 mwez 8, Lakini mimi tayari nimepata LUGALO naombeni ushauri nipige chini Muhimbili niingie hapo LUGALO au..??
nimeona kijana wangu kachaguliwa Lugalo! lkn yupo form five! asante
Asante..! Kwa ushauri mzuri je una taarifa kuhusu lini chuo cha Muhimbili School Of Nursing And Midwifery kinafungua..!Dogo tushakujibu nenda lugalo pako safikuna dogo kamaliza hapo chuo kipo safi
shule moja huko bagamoyoKama shule anayosoma nzuri zaidi muache aendelee ila kama haieleweki mpeleke Lugalo hutajuta
shule moja huko bagamoyo