Muhimbili raha

...baada ya kumaliza shida zako, ndio ukampiga hiyo picha sio?!
 
Huyu kama si dada yake mtu humu JF basi ni mama ye ke mtu humu JF. Full stop.
 
Raha sana........hadi basi........
 
Huyu kama si dada yake mtu humu JF basi ni mama ye ke mtu humu JF. Full stop.

🙊🙊🙊🙊🙊🙈🙈🙈🙈💃💃💃💃
 
Kwa kweli mguu wa Nesi huwa mzuri siku zote, unafuata wa Mwalimu tena wa Siasa
 
Nersi hajaamini macho yake. Kumbe ukiisha maliza kuwapa hivyo vidonge, utajipatia pa kuupumzisha mwili ulio chooka? Huyu ndo Magu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…