VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Mimi ndiye niliyewasimamia wanafunzi (Kamati ya Mapitio ya Katiba) kurekebisha Katiba hiyo 'mpya' ya MUHASSO
Najua Mkuu. Mimi si mwanafunzi pale. Ni Kamanda wa kwenda kumaliza mtafaruku. Kila kitu kitakuwa sawa. Kwanza wanafunzi wapate viongozi. Waliofukuzwa wameanza kurejeshwa. Mimi nilikwenda kama Mwanasheria hurukumbe na we ni mmoja wa wasaliti? Unajua kwamba kuna watu walisimamishwa mwaka,miaka miwili na wengine kufukuzwa?
Kiongozi usijali. Jambo la kwanza kuzingatia ni hilo. Kila mwanafunzi atarudishwa. Wameshaanza kurudishwa. Kila kitu kitakuwa sawa. Lakini,wapate Serikali kwanzaKutokana na taarifa nilizo nazo kuhusu haya mambo, mtazo wangu ni juwa haina maana kurudisha MUHASSO kwa sasa kwa sababu bado kuna wanafunzi wengi wako nyumbani(waliokuaa wakidai hiyo hiyo MUHASSO) irudishwe.Wengi wamekatishwa masomo.
Iwapo MUHASSO ikirudishwa, ni vizuri/vyema na busara wanafunzi hao pia warudishwe.
Why let them suffer home and accomplish what they wanted/fight for at first place?
Mkuu Kichwani-Kichwa, you real have to consider that..if nmyou already have, what can you say about it?
Kiongozi usijali. Jambo la kwanza kuzingatia ni hilo. Kila mwanafunzi atarudishwa. Wameshaanza kurudishwa. Kila kitu kitakuwa sawa. Lakini,wapate Serikali kwanza