Muhimbili: Miaka 50 ya "Uhuru"

Jamani hizi picha ni miss-leading sana!! Wakati wa kupiga deki wodini wagonjwa hutolewa nje, na hizi picha zilipigwa wakati huo. Aliyezipiga asiwalaghai watu bure!!!

Ndugu mheshimiwa, if you know nothing don't say anything
 
At leasst the indian-mhindi- built this hospital SewaHaji- otherwise this country would never had a hospital!

Hadn't the indian-mhindi built this rotten hospital, this country would have Bugando, KCMC, Mbeya Referral Hospital etc
 
na hii ndio hospital ya serikali.Mungu endelea bariki viongozi wetu....
 
Halafu muhimbili kuna mbu wengi ni balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…