jipange kwa interview kwanza. maslahi utauliza baada ya ku-pass interview jamaa yangu
Nimepigiwa simu leo asubuhi kwa ajili ya interview Muhimbili hospital Assistant Accountant, vipi hawa jamaa wanalipaje?
maslahi muhim jamani,
Kweli binadamu mna matatizo. Kazi hamna mkiitwa mnaanza kuulizia mshahara. Daa kaz kwel
Wanalipa shilingi milioni tano kwa mwezi, lakini unaweza kuwaomba wakakuongezea kidogo kama fedha za usafiri na nyumba.
sasa mtu mwenyewe umetaka kudanganywa..sasa sisi tumekurahisishia njia. Kuna vitu vingine sio vya kuuliza huku JF,dah , kuwa serious ndugu
maslahi muhim jamani,