Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Wafanyabiashara wa Muheza kwa umoja wao wamefunga biashara zao baada kupewa notice ya kulipa asilimia 0.3% ya VAT Kama kodi nyingine halmashauri. Pia wameongezewa kodi nyingine ambazo hawakushirikishwa. Hivi sasa wamejazana mahakamani kufungua pingamizi.
Hapa kazi tu
Hapa kazi tu