Ewe dada ewe kaka ewe kijana wa kike na wakiume acha tamaa macho hayajawahi tosheka kuona. Sikila mwanamke/mwanaume lazima uzini naye tuache tamaa. Na zinaaa haipambiki ni haramu na chukizo mbele za MUNGU. nimewaza tu. Nahisi roho mtakatifu anatenda kazi yake ndani ya nafsi yangu sasa
Nimetoka kuchepuka na ka binti jana tu, baada ya kutoka logde nikaona haina maana kabsa. Na nilicho kifata hakina tofauti na nilichokiacha. Mungu nisamehe mimi.

Kwa kawaida ukitaka kut0umb@ nje unakuwa na hisia kali as if utafaidiiiiii, ukishamaliza mchezo Kuna hali fulani ndani ya nafsi inakusuta unabaki unajilaumu weeeee mpaka bas.