Muheshimu huyo ulie naye maisha kuvumiliana tamaa zitakuponza.

Theb

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
3,929
7,268
Ewe dada ewe kaka ewe kijana wa kike na wakiume acha tamaa macho hayajawahi tosheka kuona. Sikila mwanamke/mwanaume lazima uzini naye tuache tamaa. Na zinaaa haipambiki ni haramu na chukizo mbele za MUNGU. nimewaza tu. Nahisi roho mtakatifu anatenda kazi yake ndani ya nafsi yangu sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida ukitaka kut0umb@ nje unakuwa na hisia kali as if utafaidiiiiii, ukishamaliza mchezo Kuna hali fulani ndani ya nafsi inakusuta unabaki unajilaumu weeeee mpaka bas.

Hii mambo ya kuf^¢k si mchezo
 
Sema genye zinakuwa na msukumo mkubwa haswaa. Yaani unaweza toroka hata kazini, shuleni au kwenye nyumba za ibada ukazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom