analysti
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 731
- 614
Imekuwa ni muda sasa tangu tumemsikia muheshimiwa Rais mteule JPM akituhutubia watanzania.
Kutokana na kazi nzuri anayoifanya, huku kukiwa na hofu ya kupunguzwa speed na chama, wananchi tumekuwa na kiu kubwa ya kumsikia rais wetu kipenzi JPM akituhutubia, na kutuhakikishia kuwa yeye ataendelea kutanguliza maslahi ya Taifa mbele, kisha chama na watu mmoja mmoja.
Hakika huu ni wakati muafaka kwa rais wetu kipenzi kutuhutubia, tena natamani sana ahutubie ki free style, na si zile hotuba za kuandikiwa. Kwakuwa free style itatupa fursa ya kupata kile ambacho kipo katika mind ya muheshimiwa rais wetu, kipenzi cha watanzania.