Andrew Mushi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 630
- 696
Nimesikiliza hotba ya Muheshimiwa Rais, ameongelea mambo mengi, lakini moja ya jambo muhimu aliloliongelea ni kuondoa ukiritimba wa middle man kwa wakezaji, hususan wawekezaji wa nje ktk sekta ya viwanda na biashara zao.
Kwa fikra na mtazamo unaozingatia yafuatayo,
A. Wanazorotesha operation za viwanda, hususan Dangote,
B. Kuondoa ubabaishaji wa middle man, kupandisha bei bila sababu za msingi.
C. Kuwezesha bidhaa ziwe zinapatikana kwa bei rahisi
D. Kumuwezesha muwekezaji kufanikisha maendeleo yake na hatma yake, aweze kujenga viwanda zaidi na zaidi,
E. Na kuwezesha wananchi kupata ajira ili Kuongeza pato la serikali kupitia PAYE taxes.
Nini alichokifanya Rais, kuamrisha mara moja Dalali au mfanyabiashara wa gesi wa ndani ya nchi, hususan AQUA na wengine waachane Na biashara hio mara moja, Na Dangote adili na kampuni ya serikali moja kwa moja.
Jengine ameagiza mara moja aondoe ubabaishaji wa kupata raw materials yaani coal, kwa kupewa kitalu cha ardhi bure ili awezeshwe kuchimba madini ya coal moja kwa moja bila ya kuhusisha kampuni ya ndani ya nchi au TRA kuhusiana na ulipaji wa acquisition taxes, bila ya kufanya consultation na wizara husika aka ya Lukuvi, wizara ya madini, n.k(cut to the chase approach), na hivyo serikali kupokea change toka kwa Dangote, kwa mujibu wa uzalishaji, hapa kidogo sikupata ufafanuzi toka kwa Muheshimiwa Rais, ni kiasi gani watakua wanalipa per tonnage.
Na vile vile, Muheshimiwa Rais hakutoa maelekezo kuhusiana na uchafuzi wa Mazingira, kama kutakua na kodi ya mazingira nk i.e. Craters yatakayoachwa Na Dangote juu ya ardhi hii for the foreseeable future, kutakua na maamuzi hapo baadae..
Na vipi by products kama vile uchafu wa makaa haya utadhibitiwa vipi ? baada ya uzalishaji, hapa pia Muheshimiwa Rais hajatoa maelekezo au directives.
Na kuhusiana na uingizaji wa magari 600 ambapo TRA hawakuja na taarifa ya kodi, takriban billioni 20, may be pia TRA haikuhusishwa..
Sasa swala la msingi Muheshimiwa Rais tunakubaliana na wewe na kauli yako yaani "cut to the chase approach" , hata hivyo kitu ambacho wangependa wapiga deal, na wafanyabiashara wengine.
Tungependekeza haya yafuatayo:-
Kufutwa rasmi kwa TRA
Hii kampuni ni longo longo sana ktk kodi zao, yaani ni dalali wa serikali ambaye anasababisha kuwepo kwa mlipuko wa bei za bidhaa mitaani bila ya sababu za msingi.
Na pili hatuoni faida yake, zaidi ya matumizi makubwa ya viongozi wa serikali na idara zao bila kuleta faida kwetu sisi wananchi,
Tukifanya hivyo Muheshimiwa Rais, nakuhakikishia wananchi watapata bidhaa kwa bei nafuu kabisa, bei zitashuka kwa zaidi ya asilimia 50%, Na hatma yake mishahara yao itakua inakidhi haja Na matumizi yao ya kila siku,
Sababu za msingi za kukuambia hivyo Muheshimiwa Rais, pesa zetu za kodi za huyu dalali TRA, zinatumika vibaya kama vile ununuzi wa bombadia kwa mabilioni shillings, halafu, wengi wa tz, zaidi ya asilimia 98% hatuna uwezo wa kuzipanda.
Ununuzi wa malandcruiser ambayo yanacost mabilioni kila mwaka ambayo again hayana faida ya wananchi zaidi ya matumizi ya wanasiasa na serikalini, ambapo again asilimia kubwa ya watanzania hawapewi hata lift. Lol
Kwa kufanya hivyo Muheshimiwa Rais ni kumuondoa Dalali TRA, itawezesha wafanyakazi wa wizara, mawaziri na wengine serikalini watumie mishahara yao kununua magari yao binafsi kama wafanyakazi wengine wa Serikali na hata sector binafsi, zoezi hilo itakua fare kabisa kwa kila mwanachi, Ni kama wanavyofanya wafanyakazi na wafanyabiashara wanaonunua na kutumia magari yao binafsi kwenda maofisini na shughuli zao za kazi, Bila ya gari ya kupewa na serikali. Hakuna utofauti hapa Muheshimiwa wa mtumishi wa serikali, wote tuanze kula jasho letu.
Baada ya hayo, Muheshimiwa Rais tungependekeza iundwe idara moja ya serikali, ikiongozwa na wewe binafsi, ikiwa na mandate moja tu, PAYE tax collection agency,
Muheshimiwa Rais kuhusiana na huduma za jamii nk, nitakuondoa wasi wasi, wafanyabiashara na wengine tutaweza kuajiri wafanyakazi wengi, na sisi tutalipa kodi kupitia PAYE, kama vile Dangote, na hizi kodi zitatosheleza kujenga hospitali na zahanati za milioni 30, nyingi tu.
Zitajitosheleza kujenga mabarabara, njia za train, ujenzi wa shule, malipo kwa walimu, malipo vyombo vya usalama, na hata kununulia vifaa vyao vya ulinzi..
Tukiweza kufanya hivyo Muheshimiwa Rais, tutawezesha serikali ndogo kabisa, ambayo inaweza kupunguza matumizi yao zaidi ya asilimia 50%, na tutaweza kuondoa kwa asilimia kubwa ya ukiritimba ndani ya hizi wizara na idara zao.
Kila mtu atakula jasho lake halali, kabisa, tutaweza kupata cement kwa bei nafuu kabisa, na wajenzi watakua ni wengi, na hatma yake Wawekezaji watafungua viwanda vingi, na asilimia kubwa wataajiriwa.
Kwa hio tunakuomba Muheshimiwa Rais, uchanganue kichwa ufanye kazi kwa mujibu ya hio framework hapo juu, kila penye mapungufu, tuweze kusaidiana kimawazo, lakini uzingatie kuondosha udalali uondoke ktk kila wizara na idara nyengine za serikali, Yaani "cut to the chase approach"
Na swala la kodi ya Faida ya makampuni, yaani corporation tax na Income Tax ya watu waliojiajiri binafsi, hii mapendekezo yake tutayaongelea zaidi, kwanza tuanzie na mapendekezo ya hapo juu..