Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,574
- 3,635
J4 kulikuwa na written interview pale chuo cha Muhimbili (MUHAS) Nimeingia kwenye pepa nkakuta 98% ya maswali yote nayajua na nikayajibu ki ufasaha na kujisemea kuwa lazima oral niwemo, in short ule mtihani ulikuwa rahisi sana kwangu
Cha ajabu kuja kuchek majibu kati ya walioitwa oral SIPO
Nilikuwa dissapointed sanaa mpk nafikiria kuwafata kuwauliza what happened, au wadau mniambie hatua gani unaeza fata endapo hujaridhika na matokeo yao mana ht marks hawaoneshi, wenyewe wanatoa namba tu.
Kama wanakuwa na watu wao wamewaandaa kwann wasumbue wengine kuitana kwnye maintavyuu.