Deogratias Didas
Member
- Jul 22, 2016
- 66
- 19
DIPLOMA of ITeducation level plz
kazii yoyote nafanya (diplo,m wekaa kando)education level plz
Habari,
Age 21 kijana hapa natafuta kazi yoyote iwe halalii niko Dar, kiwandani, vibarua, shop, supermarket kokote kambi.
PM au 0688024623
Dogo unatafuta kazi kibabe sana.. una shida kweli wewe?
sijakuelewaa kaka nimetumiaa ubabe upi hapooo?
Kama ni ishu ya kutangaza bidhaa kwenye social network kwangu ni rahisi sana. Utafurahi mwenyewe kwa mmiminiko wa watejaunaweza kazi za sales.. kutafuta masoko ya huduma na bidhaa?
Kama ni ishu ya kutangaza bidhaa kwenye social network kwangu ni rahisi sana. Utafurahi mwenyewe kwa mmiminiko wa wateja
Ushawahi kuona barua ya maombi ya kazi inaanzaje na iinamaliziaje?.. dear sir/ madam...... yours faithfully ... please.... yours sincerely. .. kijana onyesha kama kweli una shida na unahitaji kazi...kuna watu kweli kazi wanazo lkn hutoa tu kama maelezo yako yatawagusa!!!.. sasa neno kama popote kambi ilikua lina ulazima gani kulitumia kwenye maelezo yako???
sales ni bidhaa zipii mfano, au hudumaa?unaweza kazi za sales.. kutafuta masoko ya huduma na bidhaa?