M Mpucha JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 1,271 Reaction score 1,660 May 18, 2017 #1 Huyu ni raia wa Saudi Arabia ambae ameajiriwa na serikali ya nchi hiyo hususan katika hukumu za kunyonga kwa kuchinja watu, na anakiri kuwahi kuchinja hadi watu 3 kwa siku, na anapinga kuwa kuchinja binadamu sio ukatili, msikilize hapa
Huyu ni raia wa Saudi Arabia ambae ameajiriwa na serikali ya nchi hiyo hususan katika hukumu za kunyonga kwa kuchinja watu, na anakiri kuwahi kuchinja hadi watu 3 kwa siku, na anapinga kuwa kuchinja binadamu sio ukatili, msikilize hapa
Jurrasic Park JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 3,833 Reaction score 6,889 May 18, 2017 #2 The bold Huyu haramia wako mwingine huyo hapa baby the bold and the handsome Nifah uje haraka huku kuna mtu anadokoa chakula yako kabla hujapata talaka 3*3
The bold Huyu haramia wako mwingine huyo hapa baby the bold and the handsome Nifah uje haraka huku kuna mtu anadokoa chakula yako kabla hujapata talaka 3*3
M Mpucha JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 1,271 Reaction score 1,660 May 18, 2017 Thread starter #3 Mwingine huyu kachinja 800
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,263 May 18, 2017 #4 hawa ni wakaza hukumu, hawana kosa lolote.