MUGALU: Persona non grata

Umeangalia possession, simba leo kaposses mpira kuliko Yanga. Asilimia 54 kwa 46

Hata nafasi za kufunga katengeneza nyingi tu.
Mkuu Simba kazidi kwenye possession tu ila shots on target Yanga ameongoza. Simba wamefungwa huku wakipigiwa mpira mwingi.
 
Tatizo la mashabiki wa timu ndogo, ni kumsaidia kocha kuchambua nani anafaa na nani hafai. Na inastaajabisha kuona wachezaji wasiohitajika na kocha ndio wananunuliwa
 
Mugalu hebu aende nyumbani kwao mara moja....

Ataipata maana.....

#DaimaMbeleNyumaMwiko
usimteteee ujinga kwani si alikuwa likizo huko nchi yenye uchawi mkubwa afrika ????? hana kipaji MAZAFAKA YAANI NDIYE STRAIKA WETU NAMBARI MOJA? MAMAMAMEEEEE
 
In today Match agaist Burnley

1st goal was own goal
2nd & 3rd goal ware for his team.

He scored hat trick or not???
Hat trick ni magoli matatu yanayofungwa upande mmoja, hapo mawili yanahesabika upande wake moja upande wa mpinzani, hivyo sio hat trick. MTU akijifunga goli 3 hiyo ni hat trick ya kujifunga
 
Nimefuarahi sana kuwa sasa hivi mmepata muda wa kujadili na kufuatilia mambo ya timu yenu badala ya kuzusha kila aina ya uzandiki kuhusu Yanga. Safi sana.
 
Kumekucha

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Tafadhalini sana tuondoleeni huyu mcheza striker mkabaji na mcheza off side kila wakati kwenye club yetu kwani kazi ya kufunga magoli iliisha mshinda siku nyingi. Kiwango hana na hastahili kuchezea timu kama Simba.
Acha utoto wee soma hivyo videsa vyako vya international law utakuja kufeli bure mitihani. Kukosa magoli hata ulaya wanakosa
 
swali na unafungwa na umechezaje?
Turudi pale pale. Chama alikuwa mpaka abebwe na wenzie au alikuwa anabeba team yeye mwenyewe? Tena kwenye nyakati ngumu..

Sasa huyu mariaroza unadai anaangushwa na wenzie means anabebwa tena kiungo?
Chama huyu huyu mlishampigia kelele hafanyagi kitu mechi za Yanga. Eti leo amekuwa mwamba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…