Ndiyo nauza unga wa mahindi, na ngano kibanda changu kiko Mbagala Kuu shuleni. Ndio hivyo najisalimisha kwenu wateja wangu wa zamani na wapya kama wewe ili mje mniunge mkono. Yaani kwa sasa bidhaa hii ya unga wa mahindi (sembe) siku hizi ina kata mtaji...yaani ela inarudi kwa mbinde.