Mugabe Turn 92

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
31651F8300000578-3456005-image-a-27_1455983296839.jpg
11E7D870000005DC-3456005-image-a-13_1455982112030.jpg
11E7D870000005DC-3456005-image-a-13_1455982112030.jpg
Rais Robert Mugabe (Bob) Akiwa Kwenye Maadhimisho ya Kuzaliwa Kwake (Birth Date) Akibakisha Miaka 8 Tu, Kutimiza Karne Nzima ya Kuwepo Kwake Duniani
Maadhimisho hayo yanakuja sanjari na maandamano ya maelfu wa Wazim wakipinga matumizi makubwa kwenye sherehe hiyo (Euro 550,000) ilihali nchi ikiwa kwenye njaa...hata hivyo washawasha lilitumika kutawanya waandamanaji
A 92kg cake for his 92nd birthday: Mugabe to celebrate with a £550,000 'thank you' bash

11E7D870000005DC-3456005-image-a-13_1455982112030.jpg
 
khee hiyo keki ni ya mamba .. jamaa anavyoila utakuta haina hata sukari
hapo anapuliza mishumaa na sidhani kama hata 10 alimaliza kabla ya kuanza kutumia pumzi ya asili ya nyuma kuanza kupuliza
 
kweli ni kiboko ya wazimbabwe huyo aisee habanduki sijui ndo ufalme au ndo udik
 
Mamba anamaanisha nini???
huenda kuna nondo zaidi lakini Keki ya Mugabe ina uzito wa kilo 92 sawa na umri wake na ina taswira ya Mamba kuashiria mnyama anayempenda sana kiasi cha kumpa jina hilo Naibu wake Emmerson Mnanngwa ambaye aliwahi kuahidi kutokomeza mende yoyote atakayejitokeza kumpinga Mugabe......kabila la Mugabe maarufu kama Gushungo ni maarufu kwa Mamba pia
 
Back
Top Bottom