Mugabe tena

Nisemapo" tunaelekea" Nina maanisha "wengi,walimwengu". Mimi ni sehemu tu na ukweli upo pale pale kwa umri wake ulimwengu atauachia wengine; bila mie au nikiwa mmoja wao- atauacha na utakosa " utani wake!"
mier mier mkuu
 
Ila wanatoa maneno kuntu umemuona gwajima Ana ma bodyguard Kama nane alaf a nakuambia yesu anatosha kuwa mlinzi huu ni uhuni
 
Ila wanatoa maneno kuntu umemuona gwajima Ana ma bodyguard Kama nane alaf a nakuambia yesu anatosha kuwa mlinzi huu ni uhuni
Hahahahaha..... ila usiconclude mkuu liache kama lilivo hiyo ni fumbo LA imani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…