Press your order now
Nike new model
Jestina vituko vya wazazi ni vingi sana hasa kitaa lakini havionyeshwi kwakuwa havina impact yoyote huyu Mugabe anajulikana ni nani kwahiyo tukio lolote linalomhusu hiyo ni habari tena kubwasad,angekuwa ni mzazi wako ungeweka hizi T-shirts?:A S embarassed:
Yaani nimecheka sana nilipoiona hiyo.Jestina vituko vya wazazi ni vingi sana hasa kitaa lakini havionyeshwi kwakuwa havina impact yoyote huyu Mugabe anajulikana ni nani kwahiyo tukio lolote linalomhusu hiyo ni habari tena kubwa