Mugabe: Ni kweli nilifariki, nimefufuka tena

Mugabe: Ni kweli nilifariki, nimefufuka tena

Casuist

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
1,189
Reaction score
2,971
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amerudi nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi hali iliyopelekea kuzuka taarifa kuhusu uimara wa afya yake na alipopata nafasi ya kuongea, alitania amepata uhai tena. Amesema ni kweli alifariki lakini amefufuka kama anavyofanya kila siku.

Mugabe ambae ndie Rais mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani aliondoka kwenye kikao cha wakuu wa nchi Jumanne lakini taarifa za ndege zinaonyesha alienda Dubai na Mugabe amelielezea hilo kuwa alienda kushughulikia mambo ya kifamilia kuhusu mmoja ya wanae.

'Yes, I was dead,' jokes Mugabe on return to Zimbabwe
After an absence that led to intense speculation he was ill, the world's oldest head of state returns home.

c85f09a78dd04954b014293cbb1b1e1e_18.jpg

File: At 92 years old, Mugabe is the world's oldest head of state [Philimon Bulawayo/Reuters]​

Zimbabwe's 92-year-old President Robert Mugabe arrived home after an overseas absence that led to intense speculation about his health and joked that he had come back to life.

"Yes, I was dead, it's true I was dead. I resurrected as I always do. Once I get back to my country I am real," the world's oldest head of state said on Saturday after arriving in the capital Harare.

He had left a regional summit on Tuesday, but flight data showed his plane went to Dubai after an original flight path indicated a course toward Asia. Mugabe has received treatment in Singapore in the past.

"I had gone on a family matter to Dubai concerning one of my children," he told reporters, without giving details.

His spokesman had denied reports that Mugabe, the target of near-daily protests in recent weeks, was ill.

The leader was expected to address a youth meeting at his ruling party's headquarters later on Saturday.
 
Haki ni ya Mungu. ..wallahi!
 
Kama hiyo picha ni ya kweli, yaani haijafanyiwa uhuni wa kitekenolojia, basi ni kweli mzee kachoka. Haitaji uwe daktari kujua hilo.
 
Watumishi wa umma zimbabwe mwezi wa pili sasa unakatika hakuna mshahara wameambiwa anayejisikia kuondoka aondoke.
 
Ni kweli huu ni mzimu wa Mugabe. ...Mugabe halisi yule mkakamavu jasiri mwenye maono mengi alikwisha fariki siku nyingi
 
Back
Top Bottom