Mugabe: CCM will never call him a "Dictator"

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,217
Kuna dalili hawa die hard wasioweza kubali kuwa wanaweza kufa bila kuwa marais hata kwa saa moja kuamua chukua ushindi bila kura.Dalili zinaanza onekana kwa watu wengi wengine wana CCM wenye nafsi kubwa ktk chama wakisema kuwa .Chadema isitegemee pea dola, wengine wakisema 2015 kamwe CCM hawatotoa nchi, na maneno mengine km ya akina wasira, Nape na wengine kama mstaafu Shimbo.Hii ni dalili hawa jamaa,wanaweza kuja na option ya kijinga kama ya Kenya na Zimbabwe.Je nini mawazo ya watu kwenye hili?
 
Embu kabla hujapost fanya edit kuna makosa mengi ya uandishi kwenye hii post,alafu upunguze speep kwani unawahi wapi?
 
Kwanini unatoa mifano ya Zimbabwe na Kenya hutoi mifano ya Zambia au Malawi? Wewe lazima ni mwanachama wa magamba uliyejua kuwa chama chako kitashindwa hivyo kuja na hiyo option ya kijinga!! Ujue kuwa Zimbabwe wao walimwaga damu kupata Uhuru wao sisi hatukufanya hivyo ingawa sasa ndio damu inamwagwa na serikali ya ccm!! Ni ujinga kusema kuwa hawawezi kuachia dola wakishindwa kwani huo wajue ndio utakuwa mwisho wa amani nchini!!
 
Kuna dalili hawa die hard wasioweza kubali kuwa wanaweza kufa bila kuwa marais hata kwa saa moja kuamua chukua ushindi bila kura.Dalili zinaanza onekana kwa watu wengi wengine wana CCM wenye nafsi kubwa ktk chama wakisema kuwa .Chadema isitegemee pea dola, wengine wakisema 2015 kamwe CCM hawatotoa nchi, na maneno mengine km ya akina wasira, Nape na wengine kama mstaafu Shimbo.Hii ni dalili hawa jamaa,wanaweza kuja na option ya kijinga kama ya Kenya na Zimbabwe.Je nini mawazo ya watu kwenye hili?
Mungu yuko nasi. Watajishitukia wako nje ya mjengo.
 
humu JF Kuna wajinga wengi sana. mleta mada ameleta mada nzuri sana. hata mimi nimewasikia wana ccm wakisema 2015 hawawezi kushindwa. ukiwasikia wanaongea kwa uhakika kabisa. sasa ni lazima ujiulize wana mbinu zozote chafu watazotumia 2015 ili wasishidwe? mtu akileta mada jaribu kuisoma vizuri na sio kukurupuka na kusema ni magamba. vyama kama ccm hua vina njia mbalimbali za kushinda. nina jamaa yangu yupo zanzibar anasema tangu 1995 chama cha CUF kimeshinda. lakini mpaka leo hii ccm bado inaongoza. jiulizeni mbinu zao.
 
Kwa sasa wana hofu na CDM na si haba kusikia hata viongozi wa dini zinazotumika na CCM, wana wanaotoka katk kundi la viongozi wanasema wazi hawataipa CDM nchi, na wengine kama polisi.Wanasema wazi kuwa hwataipa CDM nchi.Wanasema wataishia ubunge tuu n aikibidi hata ubunge nao watanyang`anywa.Kama vile wao ndio wanaamua kutoa uongozi wa hii nchi au kuzuia.Ni wazi watafanya vituko ili ije serikali ya umoja wa kitaifa.Yangu macho, kama nalo hili halitaingia katk m4C na bungeni km issue ya kukamua hela NSSF CCM watafanya hatari sana.Nadhani yale wanayoweza katizwa mapema ili wabadili hii mitazamo una uwezekao tukashtushwa na chaguzi.Bahati suala kama la Vurugu na kuandaa makundi ya Vurugu,limewaanika CCM na hivyo kupunguza uwezekano wa upinzani kushitakiwa kwa makosa ya kibinadamu.CCM walishapanga hayo mazingira.
 
Embu kabla hujapost fanya edit kuna makosa mengi ya uandishi kwenye hii post,alafu upunguze speep kwani unawahi wapi?

Mimi si mwandishi by profession .Makosa ya uandishi si issue sana ktk forum kama hii.Ingekuwepo ya forum ya waandishi wa habari kwa ajili ya kujadili skills za uandishi.Basi huko pangekuwa mahali pake kuangalia hadi nukwa.
 
Mgabe kaingiaje kwenye habari yako mkuu?. mia

Mugabe baada ya uchaguzi na watu kupiga kura na matokeo hayakuwa upande wake, aliyapiga chini na kuchukua ushindi.CCM walikuwa wasuluhishi Zimbabwe na kenya, na Zenj huku wao wakiwa na udau, sasa ni wazi wanaweza opt njia hizohizo.
 
Ushindi ni mbinu na kupanga ni kuchagua sio kila mwenye macho anona wengine ni urembo tu ila hawaoni kabisa, Mbona watu hawajiulizi pamoja na yote yaliokua yakiendelea Arumeru lakini cdm walikuja kuchukua Jimbo? Ushindi ni mbinu tu.
 
hivimagufuli alijadili nini na Tvangirai?Wakati CCM iki msupport Mugabe na huku ikiihujumu CDM.Sijui nagulizwa CDM ikishinda itakuwa tayari iachia nchi?
 
humu JF Kuna wajinga wengi sana. mleta mada ameleta mada nzuri sana. hata mimi nimewasikia wana ccm wakisema 2015 hawawezi kushindwa. ukiwasikia wanaongea kwa uhakika kabisa. sasa ni lazima ujiulize wana mbinu zozote chafu watazotumia 2015 ili wasishidwe? mtu akileta mada jaribu kuisoma vizuri na sio kukurupuka na kusema ni magamba. vyama kama ccm hua vina njia mbalimbali za kushinda. nina jamaa yangu yupo zanzibar anasema tangu 1995 chama cha CUF kimeshinda. lakini mpaka leo hii ccm bado inaongoza. jiulizeni mbinu zao.

upo sawa kabisa hoja ni ya muhimu mtu anaposema kuwa msitegemee wapinzani kuchukua nchi maana yake nini kuna hila mtoa mada yupo sawa ila ni kweli kuna tatizo la uandishi hili JF tuangalie hoja.
 
Mimi si mwandishi by profession .Makosa ya uandishi si issue sana ktk forum kama hii.Ingekuwepo ya forum ya waandishi wa habari kwa ajili ya kujadili skills za uandishi.Basi huko pangekuwa mahali pake kuangalia hadi nukwa.

Achana nao kaka wapumbavu wanajadili vitu vidogo vidogo kama hivyo na kamwe si ujumbe
 
Sijui kwanini wana CCM wanakuwa mzigo namna hii, wakati watu wenye akili timamu wanapa hadi homa ,kwa jinsi CCm wanavyorisk nchi bila kujijua tupo ktk delicate situation.Yaani bado wanaringa ringa ktk petrol na kiberiti, huku wakipiga makelele kuwa ni haki yao kufuta sigara kiasi wapenacho.
 
Back
Top Bottom