Mufti Mkuu Misri asema Bitcoin ni haramu

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
9,231
Reaction score
10,468
Mufti Mkuu Misri asema Bitcoin ni haramu
  • _99435800_hi043518609.jpg
  • Haki miliki ya pichaAFP/GETTY IMAGES
Image captionBitcoin ilipoteza 25% ya thamani yake kipindi cha wiki moja
Imam mkuu nchini Misri ameidhinisha marufuku dhidi ya biashara ya sarafu ya kidijitali ya Bitcoin akisema ni "haramu" kwa mujibu wa dini ya Kiislamu.

Mufti mkuu Sheikh Shawki Allam amesema sarafu hiyo ina hatari nyingi za "kutokea kwa utapeli, ulaghai na kutokuwepo na ujuzi".

Bitcoin ilianza kuuzwa mwaka jana ikiuzwa chini ya $1,000 (£737) lakini kufikia mwisho wa mwaka ilikuwa ikiuzwa $20,000.

Baadaye, ilipoteza thamani kwa 25% katika kipindi cha wiki moja, na kuzua hofu miongoni mwa wawekezaji.

Mufti Mkuu huyo amesema hatari zinatokea kutokana na hali kwamba hakuna anayeisimamia sarafu hiyo.

"Bitcoin ni haram kwa mujibu wa Sharia na inawadhuru watu binafsi, makundi na taasisi," amesema kwa mujibu wa gazeti la Ahram.

Soko la kwanza la Bitcoin lilifunguliwa Agosti 2017 nchini Misri.

Mwezi jana, serikali iliharamisha sarafu hiyo.

Mshauri wa Mufti Mkuu, Magdy Ashour, aliambia gazeti la Egypt Today kuwa Bitcoin inatumiwa "kuwafadhili magaidi moja kwa moja".

Wakosoaji wa fedha hizo wamesema kupanda thamani kwake kwa sasa ni "puto hatari" kama ilivyofanyika kwa dotcom, lakini wengine wanasema kupanda bei kwake kunatokana na kuanza kukubalika kwa fedha hizo.

"Bitcoin kwa sasa ni kama treni inayoongeza kasi zaidi na zaidi ilhali haina breki," amesema Shane Chanel wa shirika la kifedha la ASR Wealth Advisers la Sydney.

Ingawa watu wengi wamewekeza mabilioni ya dola katika Bitcoin, thamani ya jumla ya $268bn ya fedha hizo kwa jumla bado ni ndogo ukilinganisha na aina nyingine za mali au fedha.
 
Ndio wanaanzaga hivi halafu wanakuja kukubali kimya kimya. Enzi zile wakipiga mbio majangwani huko na majambia yao kueneza dini wangeambiwa leo kungekuwa na internet na watu wakipaa angani huku waki-chat through WiFi wangekuambia tobaaaa! Mbingu na ardhi zitatikisika kwa hizo kufru mbele za Mnyaaazi Mungu; leo yako wapi nao wanajifanya vinara wa hi-tech tena watakwambia yameandikwa kwenye vitabu vyao vya dini. Sometimes, mambo ya dini ndio unafiki namba moja duniani.
 
Sio lazima kila mtu ajue kama wewe mpuuzi..kama huna cha kuchangia piga kimya
 
Muft ndo kitu gani hata aingilie biashara za watu
 
Ndio wanaanzaga hivi halafu wanakuja kukubali kimya kimya. Enzi zile wakipiga mbio majangwani huko na majambia yao kueneza dini wangeambiwa leo kungekuwa na internet na watu wakipaa angani huku waki-chat through WiFi wangekuambia tobaaaa! Mbingu na ardhi zitatikisika kwa hizo kufru mbele za Mnyaaazi Mungu; leo yako wapi nao wanajifanya vinara wa hi-tech tena watakwambia yameandikwa kwenye vitabu vyao vya dini. Sometimes, mambo ya dini ndio unafiki namba moja duniani.
umeandika nini..mbona hueleweki!..uharo wa chuki unakuvuja tu..hebu rudia kusoma ulichoandika uone kama utaelewa
 
Ndio wanaanzaga hivi halafu wanakuja kukubali kimya kimya. Enzi zile wakipiga mbio majangwani huko na majambia yao kueneza dini wangeambiwa leo kungekuwa na internet na watu wakipaa angani huku waki-chat through WiFi wangekuambia tobaaaa! Mbingu na ardhi zitatikisika kwa hizo kufru mbele za Mnyaaazi Mungu; leo yako wapi nao wanajifanya vinara wa hi-tech tena watakwambia yameandikwa kwenye vitabu vyao vya dini. Sometimes, mambo ya dini ndio unafiki namba moja duniani.
Hahaa
Wataelewa tu
 
Mufti Mkuu Misri asema Bitcoin ni haramu
  • _99435800_hi043518609.jpg
  • Haki miliki ya pichaAFP/GETTY IMAGES
Image captionBitcoin ilipoteza 25% ya thamani yake kipindi cha wiki moja
Imam mkuu nchini Misri ameidhinisha marufuku dhidi ya biashara ya sarafu ya kidijitali ya Bitcoin akisema ni "haramu" kwa mujibu wa dini ya Kiislamu.

Mufti mkuu Sheikh Shawki Allam amesema sarafu hiyo ina hatari nyingi za "kutokea kwa utapeli, ulaghai na kutokuwepo na ujuzi".

Bitcoin ilianza kuuzwa mwaka jana ikiuzwa chini ya $1,000 (£737) lakini kufikia mwisho wa mwaka ilikuwa ikiuzwa $20,000.

Baadaye, ilipoteza thamani kwa 25% katika kipindi cha wiki moja, na kuzua hofu miongoni mwa wawekezaji.

Mufti Mkuu huyo amesema hatari zinatokea kutokana na hali kwamba hakuna anayeisimamia sarafu hiyo.

"Bitcoin ni haram kwa mujibu wa Sharia na inawadhuru watu binafsi, makundi na taasisi," amesema kwa mujibu wa gazeti la Ahram.

Soko la kwanza la Bitcoin lilifunguliwa Agosti 2017 nchini Misri.

Mwezi jana, serikali iliharamisha sarafu hiyo.

Mshauri wa Mufti Mkuu, Magdy Ashour, aliambia gazeti la Egypt Today kuwa Bitcoin inatumiwa "kuwafadhili magaidi moja kwa moja".

Wakosoaji wa fedha hizo wamesema kupanda thamani kwake kwa sasa ni "puto hatari" kama ilivyofanyika kwa dotcom, lakini wengine wanasema kupanda bei kwake kunatokana na kuanza kukubalika kwa fedha hizo.

"Bitcoin kwa sasa ni kama treni inayoongeza kasi zaidi na zaidi ilhali haina breki," amesema Shane Chanel wa shirika la kifedha la ASR Wealth Advisers la Sydney.

Ingawa watu wengi wamewekeza mabilioni ya dola katika Bitcoin, thamani ya jumla ya $268bn ya fedha hizo kwa jumla bado ni ndogo ukilinganisha na aina nyingine za mali au fedha.
Nafikiria kwasababu hajaijua muda mrefu sana
 
Back
Top Bottom