10-12 weeks - Kama Mama Mzazi anayo Afya Njema - Vinginevyo ni vizuri ukasubiri zaidi maana inatgemea alijifungua kwa njia gani na afya yake imeimarika kiasi gani...
Uwe mvumilivu saana maana "nyumba ndogo" uanzia kipindi hiki
Kikawaida ni siku 40, mama anakuwa salama ku do. Kikubwa zingatia afya yake na lishe. Pia style ziwe zile soft sio unagonga tu na masarakasi. Kwa ushauri zaidi nenda RCH clinics ya karibu watakujuza kila kitu. All the best.
kama kweli unampenda saana mwenzako, miezi miwili ni mwafaka kama alijifungua salama, ila akiomba mwenyewe mpe, pia unaweza kuwa unamuuliza, vipi mama unaweza kunipako kidogooo!!!!:smile-big::smile-big:
Kuna kitu kinaitwa "KUBEMENDA" huwa nakisikia kinamtokea mtoto kama mama akifanya sex mtoto akiwa mchanga, hii ndo nini? Nijuzeni jamani. Na inatokea mtoto akiwa kwenye umri gani?