brightoscar
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 369
- 546
Kutoka vyanzo vya ndani kabisa Putin amegundulika ana cancer inayomtafuna kwa muda mrefu na hana miezi 12 mbele, nadhani akiondoka amani itarudi Duniani na maisha yatarudi kawaida ingawa inasemekana kiongozi wa China anajiandaa kuendeleza atakapoishia.
Mungu asaidie haya mambo yafike mwisho uchumi wa Dunia urudi kawaida hasa bei za mafuta.
Source:GUO WENGUI huyu alishatabiri kupotea kwa muanzilishi wa Alibaba na ikatimia.
Mungu asaidie haya mambo yafike mwisho uchumi wa Dunia urudi kawaida hasa bei za mafuta.
Source:GUO WENGUI huyu alishatabiri kupotea kwa muanzilishi wa Alibaba na ikatimia.